O Japão anunciou uma nova contribuição de 3,8 milhões de dólares para a Ucrânia, via a Unesco, para ajudar a restaurar bens culturais do país avariados pela invasão russa.
Mjapani Murase Kokomo alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya big air ya kuteleza kwenye theluji kwa ubao au snowboard ya wanawake Februari 9 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya ...
Waziri Mkuu wa Japani Takaichi Sanae anasema anakusudia kuharakisha utekelezaji wa ahadi zake za sera, kufuatia ushindi wa ...
NHK imefahamu kwamba Japani itajiunga na mpango unaoongozwa na Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO wa kutoa silaha na vifaa vilivyotengenezwa nchini Marekani kwa Ukraine.
Maafisa wa usafiri wa anga wa Cuba wameonya mashirika ya ndege ya kimataifa yanayoihudumia nchi hiyo kwamba nchi hiyo haitaweza kutoa fueli ya ndege kuanzia Februari 10. Nchi hiyo iko chini ya shiniki ...
Mtelezaji wa kasi kwenye barafu Mjapani Takagi Miho, ameshinda medali ya shaba katika mbio za wanawake za mita 1,000 katika Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi ya Milano Cortina 2026.
Nikaido Ren wa Japani alishinda medali ya shaba katika mashindano ya kuruka kwenye theluji, ski jumping upande wa wanaume kipengele cha normal hill katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Mi ...
Viongozi wenza wa Chama cha Centrist Reform Alliance cha Japani, CRA wanasema watajiuzulu nyadhifa zao kufuatia chama hicho kipya cha upinzani kushindwa vibaya katika uchaguzi wa Baraza la Chini la Bu ...
Iran's President Masoud Pezeshkian has called for unity among the people of his country amid reports of deadly anti-government demonstrations. He said his government is "ready to hear the voice of the ...
The Centrist Reform Alliance, Japan's new opposition party, will choose a new leader on Friday after suffering a crushing defeat in Sunday's Lower House election. Former Constitutional Democratic ...
日本大型电器制造商夏普宣布,原计划将其位于三重县龟山市、从事中小型液晶面板生产的龟山第二工厂出售给母公司台湾“鸿海精密工业”,但该计划已被取消。
หัวหน้าองค์การพลังงานปรมาณูของอิหร่านกล่าวเป็นนัยว่า อิหร่านอาจลดความเข้มข้นของยูเรเนียมเสริมสมรรถนะสูง ...